Habari zenu wana JF.
Mimi ni binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka Ishirini na tatu. Ni fresh graduate mwenye shahada ya Uchumi yaani (BA in Economics) kutoka University of Dar es salaam.
Niko hapa kuwaomba mnisaidie nafasi ya Internship kwa wenye kampuni, connection au mnaofahamu mahali wanapo chukua watu wa Intern ili niweze kupata uzoefu.
Nimeomba sehemu nyingi sana ikiwemo TAESA, Kwenye NGO’s tofauti tofauti na hata United Nations nimejisajili kwenye website zao, nime apply sana, na mpaka kwenye ofisi zao nmefika lakini laah sijafanikiwa kupata.
Pia niko na uwezo wa kutumia Microsoft excel and word, Na pia nina knowledge ya mambo kadhaa mfano budgeting, financial controlling, Risk Management, Policy analysis, Market Research analyst na mfano wa hivyo.
Hivyo basi, Ninaweza pia kufit some roles Kama Accountant, Economist, Data analyst, Statistician na vinginevyo.
Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote ile iliyo halali.