Natafuta nafasi ya kazi (tempo)

Natafuta nafasi ya kazi (tempo)

Chantelezo

New Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Natafuta nafasi ya kazi ,nimemaliza form four 2011 . Nimsichana wa miaka 19
Matumaini yangu nitapata msaada toka kwenu.
 
Weka mawasiliano yako usaidiwe bibie.
 
mh midume yote ndio imejitolea kutoa support, halafu mbaya sana anayetafuta kazi ni member wa JF mkongwe with multiple ID's halafu ni dume.....
 
Mtamsaidia kweli au ndo mnataka kumsaidiiiiiiiiiiiiiiya!! huyu binti anapaswa kujionya kwanza kabla kisha aamue kuzifanyia kazi hizi acceptance za offer yake.Mbona kwa mfano wanaodai amepata kazi hawamwambii kazi gani ili ajue mapema kama yuko tayari kwa kazi husika.Msaidieni kwa maana ya kumsaidia.
 
Back
Top Bottom