Sabayi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 2,310 Reaction score 999 Oct 31, 2011 #1 Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kufundisha masomo ya biashara kwenye shule yeyote ile Mbeya Mjini nitashukuru sana,Elimu yangu ni shahada ya uongozi na biashara toka UDSM.Ahsanteni
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kufundisha masomo ya biashara kwenye shule yeyote ile Mbeya Mjini nitashukuru sana,Elimu yangu ni shahada ya uongozi na biashara toka UDSM.Ahsanteni