Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa ngazi ya chini ( beginners).
Natafuta nafasi ya kazi ili niweze kutumia maarifa na ujuzi wangu kusaidia vijana na watoto wanaoendelea na masomo kutimiza ndoto zao.
Nina uwezo wa kufundisha Pre & primary level, secondary level and advance level.
Anzisha kijiwe cha tuition kusanya 200/= kwa kichwa kila siku upoze makali ya maisha! Alafu hizi degree za education unaenda chuo kukua kama sijakosea!