natafuta nafasi ya kazi

namnyak

Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
59
Reaction score
8
ninatafuta kazi yoyote ile nina bachelor ya sociology mwenye nafasi yoyote ile ani PM asanteni.
 
eeh inategemea utanilipa sh ngapi ya kunisaidia ktk maitaj yang ya kila siku
 
Tumia recruiting agencies kama Radar, prospect Africa etc. Ingawa huwa hamna formula ya jinsi ya kupata kazi. Ila tengeneza CV nzuri then jisajiri kwenye agencies. Jiandae vyema kabla hujaitwa kwenye interview; Ijue CV yako na ujue kampuni unayoomba kazi. Kujiamini ni muhimu sana ukiitwa kwa interview. Siku moja utafanikiwa.

Ingawa kichwa cha habari umesema "unatafuta nafasi ya kazi" hakikukaa vizuri sana
 

source: https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/192947-natafuta-kazi-za-ndani-3.html#post2823905
 
WAPI MAT.A.KO.N.I sawa ila jambo usilolijua kwako litabaki kama giza milele huwezi jua wala elewa asante mzee
 
asante nitaenda kufatilia hizo recruiting agencies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…