natafuta nafasi ya kufundisha iringa mjini

natafuta nafasi ya kufundisha iringa mjini

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
ni mwalimu mzuri wa biology na chemistry O level, nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka 2 nataka kuhama hapa nilipo, naomba mwenye msaada awasiliane nami kwa pm,nawashukuru nyote
 
Karibu dar kuna kampuni inaitwa teachers junction wengi wamesaidiwa inawaunganisha walimu na mashule.
Wapigie
0655-586906
0682-586906
 
Karibu dar kuna kampuni inaitwa teachers junction wengi wamesaidiwa inawaunganisha walimu na mashule.
Wapigie
0655-586906
0682-586906

Asante ndugu,mimi natafuta nafasi kwa mkoa wa iringa,kama tittle ya thread inavyosema but thank you for your concern,kuna wadau wengine wenye hitaji hili bila shaka watawasiliana na wewe
 
mkuu mimi nilimaliza Ruaha sec scul,iringa 2006 ni private scul pako poa sana palinitoa pale,jaribu ku google ruaha secondary maana wana website yao.ili ukipata contacts zao ujaribu kucheki nafasi.ukifanikiwa nijuze
 
poa mkuu,ngoja nifanye hivyo then nitakujulisha mkuu usijali
 
Back
Top Bottom