Hebu toa data zako. Upo wapi na ni wapi unaweza kufanya kazi?Habari zenu wana jf natumai muwazima, naomba mnisaidie nimemaliza Diploma ya social science natafuta NGO nijitolee kufanya kazi, kwasababu nimetafuta ajira bila mafanikio, kwa yoyote anayeweza kunisaidia awasiliane nami kwa email madata84@yahoo.com nawaomba sana mbarikiwe.
Thanks kwa ushauriTafuta NGos za ukimwi
Hebu toa data zako. Upo wapi na ni wapi unaweza kufanya kazi?
Siyo tu kwa sababu nimekosa ajira hapana pia inanipa na kuniongezea uzoefu wa kazi maana hakuna anayekuajiri bila uzoefu siku hizi, uzalendo ninao ndo maana nimeamua kujitolea kwanza kufanya kazi za jamii kwa maendeleo ya jamii.Kwa hiyo unataka tu kuwa Volunteer kwa sababu tu umekosa ajira?
Uzalendo wewe hauna?