Natafuta nafasi ya masomo..

nzedanze

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
1
Habari zenu mabibi na mabwana,ninamdogo wangu wa kike kahitimu form four ana Div four ya point 27 namtafutia nafasi ya kusoma (Chuo) hasa hasa Nursing,Kilimo or Teaching vyenye ada dogo kuanzia Laki 7 na kushuka chini kwa mwaka
Natanguliza shukurani za dhati.
 
Mpeleke ccp,tena hawahitaji hata hyo ada yako.
 
Chuo kipo Dom kinaitwa Capital na shule wameanza juzi tu na ada yao ni laki saba na ushee,ni Chuo cha Ualimu kazi kwako mkuu
 
Capital ada iko juu ndugu yng.Mm nakushauri kama amefauru Bios aombe nursing kupitia wizara ada cheep sana.
 
Capital ada iko juu ndugu yng.Mm nakushauri kama amefauru Bios aombe nursing kupitia wizara ada cheep sana.
 
Mimi nakushauri umtafutie mchumba usihangakie mambo mengi kwani hata akisoma mwishowe ni kuwa ataolewa tu!
 
Mimi nakushauri umtafutie mchumba usihangakie mambo mengi kwani hata akisoma mwishowe ni kuwa ataolewa tu!
Jamaa kaomba mwenye kujua nafsi za masomo na si vinginevyo,heshimu basi achana na huo mfumo dume
 
<font color="#ff0000"><b>CCP=C</b></font>HUO <b><font color="#ff0000">C</font></b>HA<font color="#ff0000"><b> P</b></font>OLISI (kipo Moshi),,,,jamani msione uvivu ata ku-goooooooooooooooogle!
<br />
<br />
bora hata umensaidia kumjibu,maana me nldhan ananzngua,cdhan ka kuna mtz ambae haijui ccp.
 
Nashukuru mkuu japo Nursing nasikia kwa mwaka huu tayari Deadline imeshapita..labda kama unahabari kuhusu chuo cha kilimo nacho chaweza kufaa..maana Dogo ana C ya Bios na C ya Civics mengine yote ni D isipokua Math and kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…