Mimi ni kijana wa Miaka 27, Sijasomea Taaluma ya Habari na Mawasiliano kwa Umma. Ila tangu Nikiwa Mdogo ndoto yangu ilikuwa ni kuwa Mtangazaji na Mwandishi wa habari. Naamini nina kipaji , kupata uzoefu nilipokuwa kiranja wa Information and Broadcasting O level ambapo nilikuwa naandika na kusoma habari mubashara Assemble kila ijumaa.
Hiyo Maisha yangu yote yalikuwa ni kuwa Mwandishi na Mtangazaji .Lakinj bahati mbaya sana nilipingwa vikali nyumbani kusomea Fani hiyo .
Nimesoma - Bachelor of Education in Languages & Management. Nimejitahidi kuzima ndoto hii lakini bado inanisumbua .
Niko Mzumbe Morogoro. Niko tayari kujitolea katika Media yoyote iliyopo Morogoro hasa Media za Dini.
Mungu awabariki JF.
Mawasiliano :0763744497