Natafuta nafasi za intern kwa mkoa wa Dodoma

Anddyy

New Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Habari,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uchumi mwaka 2024 natafuta nafasi ya intern mwenye kujua tafadhali.
 
Kama uko Dodoma si uende ofisi zinazohusiana na field yako au haupo Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…