Natafuta Nakala ya 'Elections Expenses Act, 2009"

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
Wadau,
Naomba msaada wa kupata 'soft copy' ya 'Elections Expenses Act of 2009' iliyopitishwa hivi karibuni na Bunge. Nimejaribu tovuti ya bunge lakini nimeambulia patupu.
wasalaam.
 
Nina muswada wa sheria hiyo ila umegoma kuambatanishwa hapa kwa kuwa kabrasha ni kubwa sana, nitumie baruea pepe nikutumie moja kwa moja.
 
Nina muswada wa sheria hiyo ila umegoma kuambatanishwa hapa kwa kuwa kabrasha ni kubwa sana, nitumie baruea pepe nikutumie moja kwa moja.

Companero heshima mbele,

Ningeushukuru kama ungeweza kunipatia hiyo link kwa faida ya wadau wengine pia.
 
Companero heshima mbele,

Ningeushukuru kama ungeweza kunipatia hiyo link kwa faida ya wadau wengine pia.

Ni kubwa sana, imegoma kuingia kwenye linki, labda umuombe Invisible aiweke.
 
Ipo kwenye link hii hapa: http://www.policyforum-tz.org/node/7198 (au bonyeza hiyo reference hapo chini moja kwa moja)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…