Natafuta namna ya kusafirisha kuku kutoka Kahama kwenda Dar es salaam

Natafuta namna ya kusafirisha kuku kutoka Kahama kwenda Dar es salaam

Kuna gari kubwa za mizigo kutokea Uganda ,kagera ,sasa nyingi zinarudi bila mizigo,unaongea na dereva unapakia mzigo na wewe unakaa mbele na dereva
Ooooh sawaà bro nashukuru
 
Back
Top Bottom