Natafuta ndugu wapya.......!!!!!

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Wana jamvi habari zenu...?
nilikuwa natafuta rafiki wa kike nashukuru nimepata sasa natafuta ndugu wapya wa hiari maana ukoo wangu una watu wachache sanaa mpaka nakosa raha....!!! kama huko tayari please ni pm tupeane contact zingine...Naitwa SINGLE RASHID

AHSANTENI......
 
MImi nilihama kabisa mwaka 1995

since then mambo shwari
 
naomba kwanza nikiri kuchekeshwa na hiki kichwa cha habari,ngoja nirudi nikaisome sasa
 
kwani ukisema ndugu unamaanisha nini,nijuavyo mimi wabantu ndio tunaongoza kua na ndugu maana ukianza na baba mama babu bibi,ndugu wote wa baba,mama ,watoto zao, wake kwa waume zao, macouzin, jaman kweli hawafiki au we unazungumzia nuclear family jamani kuna extended family pia
 
Dah.. Nilivyo na ndugu wengi..!

Ngoja wengine niwahamishie kwako upate ndugu wapya..!!
 
Wewe kama mimi
ningeweza kuwapunguza ningepunguza lol

Yap hapa nakubaliana na wewe, na mbaya zaidi wengine ni wasumbufu mno na wanatuingiza hasara kila siku! Saa nyingine ukimuona unajua tayari kuna jambo, kama hakupigi mzinga, basi kesha haribu sehemu, lol!
 

Kwenye bold umekusudia alietayari au asie tayari...mana kuna tofauti kati ya uko tayari na huko tayari
 
Ebwanae wewe kweli unao ndugu wengi na mimi na shukuru sana kwa kunipa ndugu wengine kwa hiyo sasa mambo yako fresh lakini wewe umeshapata mwenza na mimi bado kwa hiyo naendelea kutafuta pia nimetoa cv zangu lakini bado sijapata na ndugu nimewapokea kwa clean heart thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…