Natafuta ng'ombe wa maziwa Singida

Kiebuta

Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
36
Reaction score
190
Habari za majukumu wanajamvi,

Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba.

Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo,

Natanguliza shukrani.
 
Tunasubiri majibu aweke na bei pia kwa singida,Dodoma na manyara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…