Natafuta Ng'ombe wa maziwa

Piga 0755-159607, huyu yupo pale shambani Kitulo kama mwalimu,atakupa simu ya meneja au akakupa majibu yote ya maswali ya awali, meneja bado sijampata. akikuuliza nani kakupa simu, mwambie Malila.

Thanks Malila, pamoja na article na psot kuwa ya zamani umenisaidia sana, nimeongea na Mwl and he will assist me to have number ya simu ya meneja wa shamba.
 
this Is very informative.. Mm mwaka jana nlifanya research ya kutosha.. nlikwenda mafinga... ihema iringa... mpaka liti mpwawa.. nashukuru pia kwa hizi taarifa na mm ntazifanyia kazi.. thanks
 
Information nzuri sana sio lazima wote tuajiliwe
 
Mkuu CHE GUEVARA-II any updates on this? Ulifanikiwa kupata mbegu ya ng'ombe kutoka kitulo? Ulifanikiwa kuanza project yako?
Tupe feedback mkuu,
 
na mimi nangoja feedback maana toka 2010 ni kitambo sana
 
Mkuu Majimoto

Labda hujakutana nao WAPO WAKULIMA WANAUZA NGOMBE WENYE MIMBA, Moja wao alikuwa jamaa wa ASSAS-Iringa alitoa matangazo mpaka kwenye magazeti. Pia hata watu binafsi wanazo kunajamaa ntawasiliana nae ili anipe contact then ntaziweka hapa
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; ******** mahitaji yaNg'ombe wa maziwa ,Ushauri n.k wasiliana na veterinary products, mobile phone 0754987809
 
kwa ng'ombe mwenye mimba unaweza ambiwa 1.7m au 1.5m, ka ndo uzao wake wa kwanza inaweza kuwa 1.3 nakuendelea, japo kunabaadhi wanauza bei za kawaida ila nao ndo unakuta wamesha wachanganya changanya yani mtu unakuta anamajike tuu yani popote akisikia panadume anapeleka maana ng'ombe kapata joto kitu ambacho kinaharbu mbegu na utoaji wa maziwa maana dume si wote ni mbegu ya maziwa wengine wakiona dume kubwa ndo wanasema huyo ndo wa maziwa kumbe la
 
Hii ni moja ya thread nzuri sana ya kutukomboa dhidi ya umasikini
 
mkuu leta mrejesho. Mwanza sijawahi kuwaona hao ng'ombe.
 
Ulifanikiwa mkuu?
 
Wadau naonba kujua Tanga fresh wananunua bei gani kwa lita ya maziwa toka kwa mfugaji mkoa wa pwani?
 
sina bei yao ila naona kuna baadhi ya mawakala wanakusanya maziwa japo sijajua ni wa kampuni gani, bei zao zinatofautiana mara zishuke mara zipande ila ni kati ya 1000 mpaka 1500
 
Mkuu habari ,,naomba email ya huyu jamaa.
 
Mkuu ulifanikiwa ,kama hutojali naomba utupe mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…