Natafuta nguruwe wadogo mtu anae wauza anitafute

gajjah

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Natafuta nguruwe wadogo kwa mtu anae wauza au anjua wapi wanapatikana anitafute kwa namba 0768896293 au 0653634503 nipo dar es salaam kijitonyama
 
Natafuta nguruwe wadogo kwa mtu anae wauza au anjua wapi wanapatikana anitafute kwa namba 0768896293 au 0653634503 nipo dar es salaam kijitonyama

mods mnaona hii THREAD... noah, mapua, haram, tamuu mnaruhusu matangazo yake huku
 
Kiricho kua haramu kwa mwingine harali kwamwinge piga kaz kaka hope utakua umepata
 
mods mnaona hii THREAD... noah, mapua, haram, tamuu mnaruhusu matangazo yake huku

Dhambi sio moja tu, watu wanabaka watoto wadogo, wanalawiti, wanaua, wanazini na wake/waume za watu, wanachukia watu wengine, wanateka watoto wa kike, wanatetea ushoga, wanapinga ushoga hadharani huku wanaufanya kisiri, wanaiba, hawaswali huku wanakosoa wengine kwa misingi ya kanuni za dini, wanafiki, mabaradhuli, wakatili, wanaoigiza kuokoka huku wakiwa ni wadhambi wakubwa na wachafu n.k .
Hizo zote ni dhambi pia, si vyema kushikilia kimoja tu, piganieni vyote!
Sijaona mahali popote katika vitabu vitakatifu ambapo Panya, nguruwe, kasa, fungo, nyani, pweza, popo, kenge, ngedere, sungura, ngamia amehalalishwa labda nipate msaada wa wadau!
 
mods mnaona hii THREAD... noah, mapua, haram, tamuu mnaruhusu matangazo yake huku

Kwani huwezi kupita kimya kimya bila kuharibu hali ya hewa?
Kama unakereka ipotezee
 
mbona huyu mnyama anashambuliwa hiv, unaweza fikiri haliwi, ila kila siku pale wanakorost, ukienda saa 2 hiv washamaliza wakati asbh jamaa alichukua kilo 100
 
Nilijua tu kua huyu mnyama atachafua hali ya hewa humu.

Aliyechafua hali ya hewa si mnyama huyo, bali ni mjinga mmoja anayedhani kikiwa haramu kwake, kiwe haramu na kwa wengine. Ndo tatizo la kuishia Madrasa
 
nina shrehe home wapi nitapata kg 10 kwa bei poa au nzima sh ngapi tuchinje wenyewe?
 
Natafuta nguruwe wadogo kwa mtu anae wauza au anjua wapi wanapatikana anitafute kwa namba 0768896293 au 0653634503 nipo dar es salaam kijitonyama

Piga namba hii 0764 518 851
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…