steam of ice
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 257
- 172
Upo wapi mteja?Heshima kwenu ndg.
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata nguruwe mzuri wa Mbegu mwenye mimba kwa bei nzuri anijulishe au Kama muuzaji tiririka bei na aina ya nguruwe ulonao.
Shukran!
Mkuu nadhani ulimaanisha MalafyaleP huyu.Mtafte mtu anaitwa Malafyale hakika hutojuta
Uko sahihi mkuuMkuu nadhani ulimaanisha MalafyaleP huyu.
Mkuu steam of ice mcheki huyo ndio anafuga nguruwe na ana mbegu nzuri kweli pia unaweza tembelea ukurasa wake wa Instagram unaitwa "malafyalepigfarm" kama sijakosea. Pitia huko utaona aina ya mbegu alizonazo pia kuna vitabu viwili ameandika kuhusu ufugaji wa nguruwe ukipata bahati ya kuvipitia ni msaada kweli vimeelezea mambo mengi sana na vimeandikwa kupitia ujuzi wake alioupata katika tasnia ya ufugaji nguruwe.
Salama kaka.nilikuwa nahitaji watoto wa nguruwe .jipo Arusha je unao?Upo wapi mteja?
Unahitaji nn hasa?
Nguruwe mzuri wa mbegu presumably ni DUME au unatafuta Nguruwe jike mwenye mimba?
Fafanua unachi hitaji na ulipo uletewe mzigo