Mangi wa Rombo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 207
- 148
Angalau Mita 2.5 Mkuu, na inaweza ikawa any, Ingawaje napendelea zaidi nguzo kama za Tanesco ila ziwe fupiMirunda au nguzo kama za tanesco ila ziwe fupi kama mita ngapi mkuu
Unaweza nipatia pia ndugu yangu! Kama usafiri utaonekana reasonable, naweza chukua hata huko! Nahitaji kama pisi 225 so inaweza ikawa good option piaDaah nimepoteza namba za wadau wapo mafinga,makambako na njombe zipo nyingi huko kitakacho kugharimu ni usafiri, treated shot poles
Kuna zilizopo upande wa Kenya zitapitaje mpakani?Angalau Mita 2.5 Mkuu, na inaweza ikawa any, Ingawaje napendelea zaidi nguzo kama za Tanesco ila ziwe fupi
Kuna mtu nimeomba anitafutie namba za hao jamaa nikizipata nitakutumia mkuuUnaweza nipatia pia ndugu yangu! Kama usafiri utaonekana reasonable, naweza chukua hata huko! Nahitaji kama pisi 225 so inaweza ikawa good option pia
Ahsante sana mkuu!Kuna mtu nimeomba anitafutie namba za hao jamaa nikizipata nitakutumia mkuu
Ahsante kwa taarifa ila hizo zitanicost sana ndugu yangu, ukizingatia haka ka joto ka TZ-KE saa hiiiš¤£Kuna mtu nimeomba anitafutie namba za hao jamaa nikizipata nitakutumia mkuu
Poa poa haina shaka Mangi wa RomboAhsante kwa taarifa ila hizo zitanicost sana ndugu yangu, ukizingatia haka ka joto ka TZ-KE saa hiiiš¤£