NATAFUTA NOKIA ASHA 210 OG mpyaa dukan kwa dar

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
397
Reaction score
280
Ndugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar
 
Huwezi pata mpya, zimesitishwa utengenezaji zaidi ya miaka 5 iliopita.
 
Ndugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar
mpya kabisa huwezi kupata ila refurbished zipo unaweza kucheki kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…