ketwas JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 212 Reaction score 36 Dec 30, 2010 #1 Nimehangaika vya kutosha,natafuta mshine aina ya noritsu 2611 na developing yake kwa ajili ya kuoshea picha,pia kama itakuwa na digital carrier yake, naombeni mnisaidie
Nimehangaika vya kutosha,natafuta mshine aina ya noritsu 2611 na developing yake kwa ajili ya kuoshea picha,pia kama itakuwa na digital carrier yake, naombeni mnisaidie
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Dec 31, 2010 #2 Kwa nini usinunue 3001 au 3011 mkuu hiyo ni nzuri kuliko unayotaka hiyo 2611. Ninayo 3001 na v50 Developing yake, ninaweza kukupa. Leta offer mazee.
Kwa nini usinunue 3001 au 3011 mkuu hiyo ni nzuri kuliko unayotaka hiyo 2611. Ninayo 3001 na v50 Developing yake, ninaweza kukupa. Leta offer mazee.