Habarini marafiki
Niko serious jamani anahitajika nurse ambaye atamhudumia mgonjwa nyumbani kwake, na
kumpangia dawa za kunywa, kumpikia chakula maalum chake anachokula, na kufanyia massage
mshahara ni mnono sana kwa anayehitaji au aliyena ndugu ambaye ni mzoefu katika unurse
anijuze tafadhali. Awe anaishi moro au dar pls kwa aliye serious na jambo hili anitaarifu
Narudia kusema tena niko serious wala si joke hapa
Nitwangieni kwa kuni pm