ni kwa nini panya wanakuwa wengi kwako...unafuga kuku?....
Ninakaa Mbezi Beach tangi bovu, paka wangu amezaa kama mwezi mmoja uliopita ana watoto watatu. Lakini naondoka kesho kwenda Zanzibar kwenye vakesheni kidogo na famili. Kama tatizo lako ni paka mdogo kweli, just PM me... will be back on Monday
Mkuu, naona umenipa mwangaza!
Kuna kuku wa kienyeji upande wa nyuma, kama kumi hivi!
Embu niambie, kuna uhusiano gani kati ya kuku na panya? Ukweli haikuwa hivi kipindi cha nyuma, na inawezekana wameanza kipindi hawa kuku tumeanza kufuga!
au ni enzi za Farao na wana wa Israeli ndizo zimeanza kurudi? Si unakumbuka yale mapigo? ndio yameanzi mitaa ya kwako
ukipata paka usimlee kama yai hatafanya kitu
Wadau,
Hivi karibuni nimekubwa na usumbufu wa panya. Wanatoboa madirisha na kuingia ndani nyakati za usiku. Nimejitahidi kupambana, ila nimeona paka atakuwa suluhisho la kuaminika. Nikiweka sumu wanafia kwenye kona, wanaozea huko!
Sumu nyingine nadhani ni feki, wakila hawafi!
Nani mdau mwenye paka mdogo, lakini mwenye uwezo wa kuwatimua hawa wabwana mbio anipe tafu kabla sijanunua sofa mpya?
Nipo Dar, mitaa ya Mbezi beach!
Natanguliza shukrani!
Hilo la paka ni wazo zuri sana,jitahidi kuwasiliana na aliyekupa offer ya kanyau kadogo lakini ufuate masharti ya ufugaji wa nyau asijekuwa nyau koko tu.Na hapo nilipo hi light ni vizuri wakati unanunua sumu hiyo uhakikishe kama ni feki au sio feki kwa kuionja kidogo maana hizi bidhaa za kichina siku hizi zimeharibu sana ubora wa bidhaa.
Pole sana mkuu. kuna msemo kwamba panya woote wa ndani ya nyumba ni mali ya baba.Wadau,
Hivi karibuni nimekubwa na usumbufu wa panya. Wanatoboa madirisha na kuingia ndani nyakati za usiku. Nimejitahidi kupambana, ila nimeona paka atakuwa suluhisho la kuaminika. Nikiweka sumu wanafia kwenye kona, wanaozea huko!
Sumu nyingine nadhani ni feki, wakila hawafi!
Nani mdau mwenye paka mdogo, lakini mwenye uwezo wa kuwatimua hawa wabwana mbio anipe tafu kabla sijanunua sofa mpya?
Nipo Dar, mitaa ya Mbezi beach!
Natanguliza shukrani!
PRETA, ukiona kuna panya ndani ya nyumba ujue kuwa nyumba hiyo ina neema yaani hawalali njaa na hawali mlo mmoja. Kukosekana panya ndani ya nyumba ni dalili kwamba ninyi ni mabahili na njaa kalini kwa nini panya wanakuwa wengi kwako...unafuga kuku?....
Nashukuru sijakuoa maana ungenitia kwenye lindi la ufukara weye binti hahahahahahayah....kuna kahusiano ka kuku na panya.......nadhani uhusiano wao mkubwa unasababishwa na ile pumba wanayokula kuku......dawa hapo ni kuhamisha hao kuku karibu na nyumba au kuwamalizia kwenye sufuria
Nashukuru sijakuoa maana ungenitia kwenye lindi la ufukara weye binti hahahahahaha
Hilo la paka ni wazo zuri sana,jitahidi kuwasiliana na aliyekupa offer ya kanyau kadogo lakini ufuate masharti ya ufugaji wa nyau asijekuwa nyau koko tu.Na hapo nilipo hi light ni vizuri wakati unanunua sumu hiyo uhakikishe kama ni feki au sio feki kwa kuionja kidogo maana hizi bidhaa za kichina siku hizi zimeharibu sana ubora wa bidhaa.
mhh huu ushauri huu,umekaa kinec huu