Amafita
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 165
- 311
Habari zenu waheshimiwa.
Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali.
Vyovyote Vile - Ray C (kutoka kwenye albamu yake ya kwanza)
Karibu Yangu - Khalid Chokoraa feat. Christian Bella
Pauline Zongo; hii nyimbo yake siijui jina ila video inamwonyesha anapiga gitaa akiwa maeneo yenye fukwe za bahari akiwa amevalia mavazi meupe
Nitashukuru sana kama nitafanikisha kupata nyimbo hizo