Habari zenu waheshimiwa.
Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali;
Vyovyote Vile-Ray C (kutoka kwenye albamu yake ya kwanza)
Karibu Yangu-Khalid Chokoraa feat. Christian Bella
Pauline Zongo; hii nyimbo yake siijui jina ila video inamwonyesha anapiga gitaa akiwa maeneo yenye fukwe za Bahari akiwa amevalia mavazi meupe
Nitashukuru sana kama nitafanikisha kupata nyimbo hizo
Nimeshawahi kukoment kwenye posts zake za Instagram na Tiktok zaidi ya mara 20 ila hajawahi kujibu tena unakuta nawahi kabisa comments zinakuwa na mwanzo mwanzo lakini wapi. Then huko YouTube ndio kabisaa comments zangu zimejaa kwenye Channel yake. Hata akiwa live Tiktok huwa anaruka hili swali, na ni wengi tu huuliza maswali kama yanguNakushauri ungewacheki hawa wahisika wenyewe kama vile Ray C , maana yupo active sana instagram. Angeweza kukutumia
umejaribu kupita kwenye hii thread? Ina nyimbo zote unazotafuta. Ukizikosa nione inboxHabari zenu waheshimiwa.
Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali;
Vyovyote Vile-Ray C (kutoka kwenye albamu yake ya kwanza)
Karibu Yangu-Khalid Chokoraa feat. Christian Bella
Pauline Zongo; hii nyimbo yake siijui jina ila video inamwonyesha anapiga gitaa akiwa maeneo yenye fukwe za Bahari akiwa amevalia mavazi meupe
Nitashukuru sana kama nitafanikisha kupata nyimbo hizo
Shukrani mkuu, ngoja nijaribuPita hapa hutajutia kiongozi
Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mwenye wimbo wa Nay wa Mitego ft. Nyasi. Sehemu ya mistari "napiga simu unakata unakata oiiiehh ... Sijui nn unataka ... Oiieeh! Nimechoka kuteswaaaa!!. Nimetafuta sana na bado sijaupatawww.jamiiforums.com
Naam anichek whatsApp 0767 542 202 nimempe hizo ngoma