Nawafahamu sana Sisi Tambala. Nakupa clue ya kuwapata uweze kupata nyimbo zao. Pale nyuma ya Ubalozi wa Marekani kuna Nyumba ya Sanaa (baada ya kufisadiwa imehamia huko) ukifika pale ulizia namna ya kuwapata. Kiongozi wao anaitwa Nanjunja Kiberiti. Ukikosa ushirikiano pale just mtafute Mussa, Keppy (0713 607191) ama Kitime wote wa Njenje Productions watakupa clue ya kuzipata nyimbo ama kikundi chenyewe.
Ni bora ukawasaka wenyewe ukanunua kwao kwani mawakala wanawaibia..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.