Natafuta nyumba ndogo!

yaan dada digna ukisikia moyo unataka kutoka au bubu anataka kusema ndo hapo ukishahonga vyote ivyo halafu mwanamke anakuwa haeleweki na jeuri ya kukufukuza anakuwa nayo,,,,,,,,tunatakiwakuhonga kwa akili sio kibushoke bushoke
 
yaan dada digna ukisikia moyo unataka kutoka au bubu anataka kusema ndo hapo ukishahonga vyote ivyo halafu mwanamke anakuwa haeleweki na jeuri ya kukufukuza anakuwa nayo,,,,,,,,tunatakiwakuhonga kwa akili sio kibushoke bushoke

Kuhonga kwa akili ndo kivipi??? Kama una akili huwezi kutafuta nyumba ndogo na ukitafuta huipati labda vibanda tu ambavyo kila siku utakuwa unavipitia leo cha chips, kesho cha mihogo, keshokutwa cha vibua n.k. Nyumba ndogo bila kukosa akili utampata nan? Lazima uwe huna akili ili kumiliki nyumba ndogo. Wenye akili wote wana nyumba kubwa tu au wanapitia vibandani (kila siku ana service za fasta fasta anasepa). Kumiliki nyumba ndogo mziki baba.
 

Digna 37, kuhonga sio issue mama,
issue ni kuilipa ile fadhila basi,
je hata wewe nyumba ndogo waweza kutoa huduma iliyotukuka ikalingana
na hiyo hongo unayopokea?
au kelele nyingi tu, vitendo zero!!!!
maana yake isije kuwa twatiana shombo tu na kumbe kazi yenyewe huwezi!
ukijua kula bibie, ujue na kulipa eeh.......................
 

pole wee!
 
Nyumba ndogo ya kupanga au ya kununua??? Ha ha ha ha ha ha dah nimecheka asubuhisubuhi
 
Nenda maeneo ya MWANARUMANGO,kuna nyumba nyingi nyingi ndogo ndogo tangu vijiji vya ujamaa.Zipo za mita 10x10 nyingi nyingi tuu.
 
Nizuge nini sasa,Madem wenyewe wanatongoza ....hapa nshapata PM za kufa Mtu ...Ishi uone mengi.
 
Nizuge nini sasa,Madem wenyewe wanatongoza ....hapa nshapata PM za kufa Mtu ...Ishi uone mengi.

Hee, wanaponda kisha wanaku-pm? Hiyo kali. Hata hivyo,wewe unataka nyumba ndogo umri miaka 25 - 30, ila nimeshangaa kuna wendawazimu kibao humu wanachombeza eti zipo zile zilizoachwa enzi za Vijiji vya Ujamaa na Kujitegemea, mara kuna vibanda sijui maeneo ya wapi....! Hivi hivyo vibanda vina umri huo unaoutaka au wanakurupuka tu? Si ajabu hao hao ndio walioku-pm. Kumbe humu namo kuna great sinkers na wala sio great thinkers!
 
Nymba ndogo zipo nyingi mkuu wewe tu na roho yako,toa wasifu wako kwa kila kipengele ie umri wako,mafao yako,utamfanyia nini,na sheria zako then utaeleweka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…