Boss ile kitu ulitoa siku ile, IMPACT yake ni kubwa saana hasa in the long run, na hasa kwa wanaume ambao bado ni wavulana. Nimenotice one thing about this crazy topic, yawezekana kabisa majority ya washadadiaji hata hawaendekezi hayo mambo kuliko walo kimya AU wanaoshabikia ili waonekane wao ni wanaume pia kama hao wanaoshadadia.... Sasa tatizo ndo linakuja hapo... Will they be responsible cheaters?? Will they know why they cheat?? Wanajua mziki unao husisha kua na nyumba ndogo?? na nini hasa kinawafanya wafikiri they will be more happy... kama nilivosema hapo juu.... Sad.