@@@! Natafuta "Nyumba Ndogo" !@@@

Sensa ya mwaka 2002 ilikuwa inaonyesha ratio ya wanawake kwa wanaume ni 100:95
sipat picha sasa hiv ikoje inaweza kuwa hata 100:50 (2:1)
mnafikir hawa wanawake waliobakia watakwenda wapi?
 

Mwogope mungu ndugu yangu na kwenye mambo yako ya kishetani usipende kulitaja bure jina la muumba wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…