Natafuta nyumba ndogo

Natafuta nyumba ndogo

balo29

Member
Joined
Aug 17, 2020
Posts
10
Reaction score
27
Awe na rangi yeyote
Awe na Shape nzuri
Awe na Heshima
Aheshimu familia yangu
Asiwe msumbufu
Akubali kunizalia
Asizidi miaka 40
 
Angalia tu usiuchape kisha mrembo wako akafunga milango yote kisha kumwagia petroli nyumba yote kisha kuwasha kiberiti. Ukiamka uko KUZIMU unashangaa umefikaje.
Awe na rangi yeyote
Awe na Shape nzuri
Awe na Heshima
Aheshimu familia yangu
Asiwe msumbufu
Akubali kunizalia
Asizidi miaka 40
 
Duh... Yaani kweli ndoa ngumu popote
Fanya mazoezi na mke wako aisee muanze kutafuta sababu mlipendana tena
 
Awe na rangi yeyote
Awe na Shape nzuri
Awe na Heshima
Aheshimu familia yangu
Asiwe msumbufu
Akubali kunizalia
Asizidi miaka 40
Aisee wewe jamaa mbona unapishana na gari la mshahara kirahisi hivi! Huna sababu ya kuweka vigezo vya mwanamke umpendaye!

Ngoja nikupe SIRI nikiwa kama mwanaume mwenzako!! Wewe weka sifa zako tu hapa!! Halafu utaichagua hiyo nyumba ndogo uipendayo!

Waambie una magari mangapi, una nyumba ngapi! Una biashara za aina gani, una viwanda vingapi, unafanya kazi taasisi/kampuni gani, Kwa siku unaingiza fedha kiasi gani, Huwa unatembelea maeneo gani kwa ajili ya mapumziko, nk.
 
Nyumba ndogo ni gharama kama una vipesa vya kuunga unga komaa na mkeo huyo ndo ana weza kukuvumilia.
 
Angalia tu usiuchape kisha mrembo wako akafanya milango yote kisha kumwagia petroli nyumba yote kisha kuwasha kiberiti. Ukiamka uko KUZIMU unashangaa umefikaje.
Duh
 
Back
Top Bottom