Jambo wakuu,
Nakuja kwenu na ombi langu bila shaka kwa wrnye kuweza watanisaidia.
Nimehamia sumbawanga kimajukumu, hivyo basi ninatafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu.
Ni imani yangu kuwa JF ni kisima cha maarifa na taarifa hivyo kuna uwezekano wa kusaidiwa.
asanteni.