Habari zenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala na sebule maeneo ya Arusha mjini. Bajeti haizidi 200,000/= tshs.
.
.
Ninaomba msaada wenu mwenye kufahamu Mawasiliano PM asante.