Natafuta nyumba ya kununua dar

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Kwaniaba ya rafiki yangu,anatafuta nyumba ya kununua dar maeneo ya kimara,tabata,chan'gombe etc bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe madogomadogo tu,tuwasiliane tafadhali.
 
Kwaniaba ya rafiki yangu,anatafuta nyumba ya kununua dar maeneo ya kimara,tabata,chan'gombe etc bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe madogomadogo tu,tuwasiliane tafadhali.

Utapata! ila inatakiwa uvute subira na u-play smart sana,

Nakushauri umwambie ndugu yako aweke tangazo lake kwenye haya magazeti ya kila siku ( Classified ad section)

Anunue sim card mpya kwa ajili ya mawasiliano ambayo haitapatikana baada ya biashara kukamilika, aweke pia email address address yake....mwisho kabisa atoe angalizo kwamba " Dalali Hatakiwi kwani hatalipwa commission, Mwenye Nyumba awe willing kusaidia Mpaka pale documents( Title deeds) zitakapokuwa verified ofisi za ardhi kwamba ni Genuine"

Kama hana haraka sana ataipata tu! watu wako desparate na cash!!!!!
 
Nyumba kubwa yenye nafasi nzuri isiwe uswahilini kwa 30M????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Dah, kama hizi zipo nadhani ni wakati muafaka kuzitafuta kama kumi hivi kwa jili ya kupangisha!
 
Nitalifanyia kazi hitaji lako wiki end hii. Bilashaka utafanikiwa
 
kwa bei hiyo na specifications zake utapata kibanda cha mlinzi.
Nyumba ya maana anzia milion 90.

ila kwa bei hiyo unapata mburahati, mabaibo na maeneo ya JINSIA hiyo.

but weka add kwenye classfies unaweza kubahatika
 
mwanangu kwa mil 30 (nyumba kubwa)hata kujenga humalizi!
 
bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe madogomadogo tu,tuwasiliane tafadhali.
Bajeti yake ni kidunchu sana kupata decent house.
Jaribu kufuatilia low cost house zilizopo Kigamboni. Nyumba hizo zimejengwa na NSSF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…