Natafuta nyumba ya kununua iliyokamilika

Natafuta nyumba ya kununua iliyokamilika

Eboo

Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
45
Reaction score
64
Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika.

Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc.

Location iwe Dar, Morogoro au Mwanza, Arusha.

Isiwe mbali na mji, iwe na umeme pamoja na maji.

Offer yangu ni 40million.
 
Majuzi nilikua namsaidia Ndugu yangu kutafuta Nyumba ya kununua maeneo ya Wazo hill Madale........

Nimekuta Nyumba nyingi Sana zinauzwa, tumetembelea Nyumba nyingi na mwisho tukapata Nyumba ambayo tuliipenda....

unahtaji level Gani ya finishing ...!
 
Nyingi budget ilikuwa inarange kiasi gani mkuu, kama hutojali lakini.
 
Arusha,kuna nyumba inauzwa iko Mtaa wa kalimaji,moshono karibu na round about ya east Africa ya njiro.Imekamilika kila kitu.Sababu ya kuuza ni kwamba huyo mwenye nyumba anataka akae mbali kidogo na ndugu zake . Kama unahitaji nicheki
 
Back
Top Bottom