Nyingi budget ilikuwa inarange kiasi gani mkuu, kama hutojali lakini.Majuzi nilikua namsaidia Ndugu yangu kutafuta Nyumba ya kununua maeneo ya Wazo hill Madale........
Nimekuta Nyumba nyingi Sana zinauzwa, tumetembelea Nyumba nyingi na mwisho tukapata Nyumba ambayo tuliipenda....
unahtaji level Gani ya finishing ...!