Natafuta nyumba ya kununua

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
  • Iwe Dsm
  • Iwe Kigamboni, Changanyikeni, Kawe, Makongo Juu, Mbezi Beach, Goba, Salasala, Tegeta, Wazo, Mbweni, Boko, au Bunju.
  • iwe na eneo la kutosha
  • iwe inafikika kwa gari (gari iingie hadi ndani, sio mambo ya kupaki CCM)
  • Iwe fenced
  • Iwe na umeme
  • Iwe na maji
Kwa mawasiliano, wasiliana piga 0717-0767 45 44 55
 
Ninayo ila ipo mbagala

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Ila pia kua makini na wenyenyumba feki (matapeli),
Unaeweza kujikuta unamlipa mwenye nyumba feki, akiwa na documnts feki mbele ya mashahidi feki na ofisi za serikali za mtaa feki.
 
Ila pia kua makini na wenyenyumba feki (matapeli),
  • Unaeweza kujikuta unamlipa mwenye nyumba feki, akiwa na documnts feki mbele ya mashahidi feki na ofisi za serikali za mtaa feki.
  • 🙂
  • Asante kwa angalizo
 
Miss n tafuta kumbe ester miguu minene dah

Hapa tunaongelea biashara ya nyumba mkuu mambo ya miguu minene ya Miss Natafuta baadae. Hata hivyo kutajana majina inakatazwa kwa kanuni za JF.

Hata kama kasema namba kapewa na Ester, unajua kama huyu ndio yeye? Kuwa makini kidogo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…