Wakuu,
Kwa aliye na taarifa anisaidie natafuta nyumba ya kununua, iwe na hati, uwanja mpana at least square metre 1500. Tafadhali iwe mkoa wa DSM.
Mwenye kufahamu ani-pm akiambatanisha bei na picha ya nyumba, namba ya muuzaji, na maelezo yote muhimu yatakayorahisha ufanyikaji wa biashara hii.
N.B. isiwe mabondeni tafadhali
Wenu
Tougher
ungeweka ofa yako ingekua vizuri sana maana nyumba zipo tena kuna nyumba zipo kawe karibu na road pia kuna parking ila ungetaja ofa yako ingekua vizuri kwani ingepunguza usumbufu kwako,
Ushauri Mzuri Mkuu. Mimi uwezo wangu mdogo ninahitaji ambayo haizidi 70 milioni ndugu yangu