Mangi I forgot to say it is 2000USD/month. You will have hot/cold water 24/7-powered by solar and the house has got solar electricty and an automatic standby generator.The Living room is Air conditioned.
Du Shukuru! Hiyo ya Temeke napata shaka kidogo, naambiwa na jamaa wanaokaa huko kwamba yataka moyo sana kuishi temeke kwa sababu ya matatizo kama vile usafiri, security yako na mali zako especially usiku, bugudha za majirani wa kiswahili (jamaa ananiambia mtaani waliweka tuta kubwa ilimradi jamaa asipite na kicorolla chake cha mkopo sababu eti wanazuia mafuriko).
Na sasa hivi jamaa wa Tmk wanahasira benki yao (DECI) imekufa na hatima ya bengu zao haijajulikana bado!
Next Level -are you serious I can get a plot in Uswazi for 2000USD or u mean the really Southern Uswazi?
Let's know your budget before we help you out
Kama unaweza kuishi Bahari Beach nip-m tuzungumze, kuna nyumba safi sana karibu na Budget resort, mi ndo naipanga kwa sasa ila nitahamia kwny nyumba yangu mwezi wa sita. Mwenye nyumba amenipa ruhusa kumtafuta mpangaji pindi nikihama. Naweza kukutumia picha za nyumba ilivyo hata kwa ndani, ni very executive na bei yake si kubwa sana. tuwasiliane kwa e mail mcmac812000@yahoo.com
Thanks
Mkuu, kwa Mchuno nini!!
Mkuu, kazi hiyo kuifanyia kutoka Park Slope au Crown Heights au kule kwa walala hoi Brownsville, si itakuwa tabu. Au unataka KumDECI? Maana wajanja wa Carnase si tabu kuwakuta Nostrand Street au Utica kwa akina Yellow man.
Park Slope washavamia hipsters, European immigrants and Manhattanite wannabees, kwa hiyo wabongo-Brooklyn itabidi watoke ma Eastern Parkway and its vicinity kwenda kuvamia Upanga and its vicinity.
Hata kama wanatoka East New York!