taurus5270
Member
- Dec 31, 2013
- 79
- 13
Hello wana jamii, samahanini kea usumbufu, sijui kma ni jukwaa husika au laa, natafuta nyumb ya kupanga hapa dar, iwe kino,knyama mwenge mikocheni nk. Kodi iwe chini ya 150000 kwa mwezi. Ni pm kama waweza kunisaidia.
Kwa pesa yako hiyo zipo nyingi za kumwaga Mbagala, jaribu pia maeneo ya Gongo la Mboto na Chanika.
Hata huko nyumba hapati, labda kama anataka chumba.Kwa pesa yako hiyo zipo nyingi za kumwaga Mbagala, jaribu pia maeneo ya Gongo la Mboto na Chanika.
Hehe asante sana bwana Asante kwa ushauri, ila nishapata pale msasani single master room saaafi na parking space ipo. Nimelipia kodi ya mwaka kwa hiyo 150 usiku huu, na inshaalah kesho nahamia.
Hata huko nyumba hapati, labda kama anataka chumba.
Basi lugha ndio haikueleweka, ni chumba ndicho nilichokuwa natafuta.