Natafuta nyumba ya kupanga dar

Natafuta nyumba ya kupanga dar

Pokola

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
716
Reaction score
177
ROOMS 2 ZA KULALA, SITTING ROOM 1, CHOO NA BAFU (si lazima iwe self contained, but ni vizuri pia kama itakuwa self), fenced/ parking ndogo, umeme na maji, sehemu yoyote accessible, preferably Tabata, Ubungo, Kimara, Sinza, Kinondoni, Survey na Changanyikeni.

Kindly, call 0713 87 57 28
 
rooms 2 za kulala, sitting room 1, choo na bafu (si lazima iwe self contained, but ni vizuri pia kama itakuwa self), fenced/ parking ndogo, umeme na maji, sehemu yoyote accessible, preferably tabata, ubungo, kimara, sinza, kinondoni, survey na changanyikeni.

Kindly, call 0713 87 57 28

teh, na wewe umo
 
Taja na uwezo wako wa kulipa kwa mwezi, maana inaweza kuwa rahisi kukujibu

ROOMS 2 ZA KULALA, SITTING ROOM 1, CHOO NA BAFU (si lazima iwe self contained, but ni vizuri pia kama itakuwa self), fenced/ parking ndogo, umeme na maji, sehemu yoyote accessible, preferably Tabata, Ubungo, Kimara, Sinza, Kinondoni, Survey na Changanyikeni.

Kindly, call 0713 87 57 28
 
ona hapa guy, unatoa tangazo na unaingia mtini

Napangisha Nyumba
Ndugu wana JF, Kuna nyumba yangu ipo kimara kilungule karibu na uwanjani. unaweza kushukia korogwe au kimara mwisho ukipenda. nyumba ina vyumba vitatu, sitting room, choo na bafu, na jiko. nyumba iko kwenye hali nzuri inavutia. kwa wanaohitaji wawasiliane na ndugu yangu ambaye yupo hapo jirani kupitia simu ya kiganjani 0784514245. Bei ni Tsh 150,000 kwa mwezi na unaweza kulipa kwa miezi sita au mwaka. karibuni.
 
Nimeliona tangazo lako @ Masika, sijaingia mitini bana.
 
hebu mtafatute bwana mmoja anaitwa Kitomai katika hii namba 0755312233, atakutatulia shida zako
 
Back
Top Bottom