Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 3,087 Reaction score 6,024 Jan 13, 2026 #1 Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma. Nina 100k kwa mwezi ikizidi sana iwe 150k kwa mwezi
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 7,088 Reaction score 12,837 Jan 14, 2026 #2 Ngoja ukutane na dalali asiyejulikana.
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 3,087 Reaction score 6,024 Jan 14, 2026 Thread starter #3 Hawaniwezi mimi ni jasusi