Unaona sasa, kumbe unatafuta chumba cha kupanga chenye master sebule na jiko.Bei isizidi 150000
πππππUnaona sasa, kumbe unatafuta chumba cha kupanga chenye master sebule na jiko.
Nadhani haijui kigamboni huyo...Unaona sasa, kumbe unatafuta chumba cha kupanga chenye master sebule na jiko.
Hapo unatafuta chumba kimoja, choo humo humo, jiko humo humo, kitamba, sebule na makabati, yaani kimsingi unatafuta singo room na sio nyumbaBei isizidi 150000
Haupo seriousBei isizidi 150000
Chumba self huwa ni 120-150KHapo unatafuta chumba kimoja, choo humo humo, jiko humo humo, kitamba, sebule na makabati, yaani kimsingi unatafuta singo room na sio nyumba