Natafuta nyumba ya kupanga Kimara

Natafuta nyumba ya kupanga Kimara

kinyagu

Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
29
Reaction score
13
Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo.

iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km.

Budget yangu ni 100k -140
 
kule insta kuna madalali wengi sana tena unaona kabisa picha ndio unaenda kuangalia nyumba, jamaa zangu wawili wamepata kupitia huko na maeneo hayo hayo.

ingia search andika dalari kimara au mbezi au ubungo au temboni
 
upo serious mkuu nyumba ya vyumba viwili kwa 100k?
 
Budget ya 100-140K ni chumba sebule na choo tu. Si zaidi ya chumba kimoja cha kulala unless hiyo nyumba iwe mbovu
 
Hipo mbezi makabe maeneo ya Mwanza garage, Ila Kodi ni 200k
Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo.

iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km.

Budget yangu ni 100k -140
 
Budget yangu ni 100k -140
kwa uzoefu wangu zinaanzia 200k to 250k, labda iwe mbovu aka kimeo
ukitaka bei izo utapata ndani ndani uko, 5 km kutoka main road na vyumba ni viduchuu
 
Back
Top Bottom