B BUKONGO Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 169 Reaction score 17 Oct 22, 2014 #1 Habari zenu. Natafuta nyumba ya kupanga Kawe iwe self contained yenye vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, n.k iwe ndani ya geti. bajeti yangu ni kati ya shs 300,000 na 350,000 na si zaidi ya hapo. Ambaye yuko serious ani PM tuwasiliane.
Habari zenu. Natafuta nyumba ya kupanga Kawe iwe self contained yenye vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, n.k iwe ndani ya geti. bajeti yangu ni kati ya shs 300,000 na 350,000 na si zaidi ya hapo. Ambaye yuko serious ani PM tuwasiliane.
Z zilakina JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 293 Reaction score 77 Oct 22, 2014 #2 Nyumba ipo ila inavyumba viwili na kodi ni 350000 tena inatakiwa hela ya udalali
Diplomatic Imunnity JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,179 Reaction score 320 Oct 23, 2014 #3 Kawe ipo unataka kuna kawe beach kawe mikoroshini au kawe kwa ngonyani