House4Rent Natafuta Nyumba ya Kupanga Mwanagati-Buza

House4Rent Natafuta Nyumba ya Kupanga Mwanagati-Buza

KingRay

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
516
Reaction score
291
Wakuu kama kuna mdau ana nyumba full ya kupanga Mwanagati - Dar Es Salaam, iwe ya kujitegemea na Uzio kabisa na Parking yenye nafasi kidogo. Bajeti around 250K -300K.

Ahsante kwa mwenye nayo nitamcheki PM.
 
Mkuu na mimi naweka tangazo langu kwenye lako
Dalili yeyote wa nyumba maeneo ya Tabata kimanga haswa mitaa ya chama anitafute PM
 
Back
Top Bottom