KingRay JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 516 Reaction score 291 Sep 25, 2017 #1 Wakuu kama kuna mdau ana nyumba full ya kupanga Mwanagati - Dar Es Salaam, iwe ya kujitegemea na Uzio kabisa na Parking yenye nafasi kidogo. Bajeti around 250K -300K. Ahsante kwa mwenye nayo nitamcheki PM.
Wakuu kama kuna mdau ana nyumba full ya kupanga Mwanagati - Dar Es Salaam, iwe ya kujitegemea na Uzio kabisa na Parking yenye nafasi kidogo. Bajeti around 250K -300K. Ahsante kwa mwenye nayo nitamcheki PM.
Manyawera JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 567 Reaction score 1,103 Sep 25, 2017 #2 Mkuu na mimi naweka tangazo langu kwenye lako Dalili yeyote wa nyumba maeneo ya Tabata kimanga haswa mitaa ya chama anitafute PM
Mkuu na mimi naweka tangazo langu kwenye lako Dalili yeyote wa nyumba maeneo ya Tabata kimanga haswa mitaa ya chama anitafute PM