Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Yani kulipa kodi ya nyumba ambay ni wajibu wako unasema ni 'Offer' unatoa?
Watu wa mikoani tunajitafutia chumba wenyewe...watu wa Dar kila kitu ni utelezi mnataka.Ungekua Dalali ungejua nini nimemaanisha
Watu wa mikoani tunajitafutia chumba wenyewe..watu wa Dar kila kitu ni utelezi mnataka
Kimara mwisho njia ya kwenda bonyokwa kipo chumba sebule na choo ndani, Niko la kujitegemea na parking. Kodi 150,000/= hakuna gharama za udalali, luku ya kujitegemea, maji yapo pia. 2km from Morogoro Rd.Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach.
Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000) mawasiliano 0759117175 tuma sms au beep ntakupigia