Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

MWANANCHI MUSOMMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
328
Reaction score
50
natafuta nyumba ya kupanga hpa dar maeneo ya tabata|MBAGALA maeneo ya kipati,MISHENI,Sabasaba,kijichi kwa laki 100.000/= kwa mwezi vyumba 6 na kuendelea uwe na geti tayari pamoja na maji tafadhali nipogie simu kama IPO |SITAKI USUMBUFU NA MWENYE NYUMBA AU DALALI WENZANGU
0657 740 797
 
Kiongozi zipo SANA hapa dar |mji mkubwa sana huu sasa kama hauwezi kuniweka wewe wengine wanaweza wewe pitas kwani sio lazM commentsss...
 
Naanza MAISHA pesa SINA lkn hii ndiyo nataka nianze ss kama yupo mtu wa kunisaidia |naombeni nyumba basi walau miezi 6 ili niweke kipato halafu miezi 6 ikiisha unaobgeza gharama naombeni wajasiriamali wenzangu tafadhalini sana wadau...
 
Unaanza maisha? Vyumba 6 umehamisha ukoo mzima kutoka kijijini?!!!
Nduguyangu nyumba ya vyumba 6 kwa laki hata chalinze hupati nyumba ya maana! Unaomba msaada labda kwa chumba kimoja au chumba na sebule, we unataka kupanga kwa mkopo nyumba ya vyumba 6?!!
 
Hakuna nyumba ya vyumba 6 kwa laki, never!!
Huko mbagala let say cheapest chumba kimoja 25,000 times six, is how much?
Labda kisicho na umeme mwanamtoti kulikolipuka yale mabomu ya mbagala.
I know mbagala very well
 
Unaanza maisha? Vyumba 6 umehamisha ukoo mzima kutoka kijijini?!!!
Nduguyangu nyumba ya vyumba 6 kwa laki hata chalinze hupati nyumba ya maana! Unaomba msaada labda kwa chumba kimoja au chumba na sebule, we unataka kupanga kwa mkopo nyumba ya vyumba 6?!!

Huyu muhuni tuu!
 
Sster uwezi kupata vyumba 6 kwa laki moja jipange tena
 
Kiongozi zipo SANA hapa dar |mji mkubwa sana huu sasa kama hauwezi kuniweka wewe wengine wanaweza wewe pitas kwani sio lazM commentsss...
Dadangu umekuja na hasira Kama umefumania vile duh mpaka unawafokea wanaojaribu kukusaidia!!!

Anyway subiri waje nnakutakia kila lakheri...
 
we dada si bure umevurugwa eti vyumba 6 kwa 100000
 
Kwanza nani anajenga nyumba ya vyumba 6 siku hizi? Mimi nilitafuta vyumba vi 4 japo nipata jasho lilinitoka.Nyumba nyingi za kupanga ni vyumba vitatu kushuka chini,labda upange vyumba 6 na sio nyumba ya vyumba 6.
 
natafuta nyumba ya kupanga hpa dar maeneo ya tabata|MBAGALA maeneo ya kipati,MISHENI,Sabasaba,kijichi kwa laki 100.000/= kwa mwezi vyumba 6 na kuendelea uwe na geti tayari pamoja na maji tafadhali nipogie simu kama IPO |SITAKI USUMBUFU NA MWENYE NYUMBA AU DALALI WENZANGU
0657 740 797
We jamaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom