MWANANCHI MUSOMMMA
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 328
- 50
Naanza MAISHA pesa SINA lkn hii ndiyo nataka nianze ss kama yupo mtu wa kunisaidia |naombeni nyumba basi walau miezi 6 ili niweke kipato halafu miezi 6 ikiisha unaobgeza gharama naombeni wajasiriamali wenzangu tafadhalini sana wadau...
Laki moja vyumba sita??????????????????????????Rudi mkoani
Mkoa gani atapata nyumba ya vyumba 6 kwa lakini? Labda pagala.
Unaanza maisha? Vyumba 6 umehamisha ukoo mzima kutoka kijijini?!!!
Nduguyangu nyumba ya vyumba 6 kwa laki hata chalinze hupati nyumba ya maana! Unaomba msaada labda kwa chumba kimoja au chumba na sebule, we unataka kupanga kwa mkopo nyumba ya vyumba 6?!!
Dadangu umekuja na hasira Kama umefumania vile duh mpaka unawafokea wanaojaribu kukusaidia!!!Kiongozi zipo SANA hapa dar |mji mkubwa sana huu sasa kama hauwezi kuniweka wewe wengine wanaweza wewe pitas kwani sio lazM commentsss...
We jamaa🤣🤣🤣🤣🤣natafuta nyumba ya kupanga hpa dar maeneo ya tabata|MBAGALA maeneo ya kipati,MISHENI,Sabasaba,kijichi kwa laki 100.000/= kwa mwezi vyumba 6 na kuendelea uwe na geti tayari pamoja na maji tafadhali nipogie simu kama IPO |SITAKI USUMBUFU NA MWENYE NYUMBA AU DALALI WENZANGU
0657 740 797