Natafuta nyumba ya vyumba viwili ,sebule iwe na choo na bafu ndani jijini mwanza

Natafuta nyumba ya vyumba viwili ,sebule iwe na choo na bafu ndani jijini mwanza

Gokona

Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
62
Reaction score
9
Hallow wadau,naomba mnitafutie nyumba nzuri ya gharama nafuu jijini mwanza kwa ajili ya kupanga na iwe karibu na mjini.Iwe na vyumba viwili ,sebule,jiko na kimoja kiwe na choo na bafu na hata nyingine kama ina choo na bafu la ndani siyo mbaya.naomba kuwasilisha wadau.
 
Back
Top Bottom