Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mchongo wa ku_apply job hapo ulipopata kwanza,Heshima kwenu wakuu. Mwenyezi Mungu amenisaidia nimepata kazi Tanga hivyo yeyote anaefaham au anaweza nisaidia kupata nyumba maeneo ya Kange karibia na stendi mpya ya Mkoa asisite kunifahamisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaefanikisha hili.
Heshima kwenu wakuu. Mwenyezi Mungu amenisaidia nimepata kazi Tanga hivyo yeyote anaefaham au anaweza nisaidia kupata nyumba maeneo ya Kange karibia na stendi mpya ya Mkoa asisite kunifahamisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaefanikisha hili.